Pitia Hapa mdau

Spark Gap

Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
62
Reaction score
20
Wakuu gharama zipoje kwa wanaorudia paper ya form four Mfano anaetaka kupiga paper mbili au tatu na je cheti cha mara ya kwanza na hiki inakuwaje apo vinaungwa au unakuwa na viwili?
 
Gharama inategemea na centre unayotaka kufanya mtihani
 
Kuhusu cheti?
Hapo inategemea sasa kama unatafuta credit moja au mbili au tatu unaunga na za mwanzo una songa mbele ndo inavyokuwa ila ukirudia form two ni cheti kipya hicho
 
Hapo inategemea sasa kama unatafuta credit moja au mbili au tatu unaunga na za mwanzo una songa mbele ndo inavyokuwa ila ukirudia form two ni cheti kipya hicho
Asante ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…