cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,871
Kama kichwa kinavyojieleleza pintech fridge ya milango miwili inauzwa imetumika miezi 6 bei 350000tshs tu
Pm kwa mawasiliano zaidi
Pm kwa mawasiliano zaidi
Daaah mbn me nna radio yao mwaka wa 3 sasa ngoma inakita ile ile ...Mmmhhhh hawa pinetech nilinunua sabwoofer yao baada ya muda mfupi ikaanza kulia kama ngoma iliyolegea ngozi
Si ndio kamari zenyew..ukipata unapata haswa ukikosa unakosa haswaDaaah mbn me nna radio yao mwaka wa 3 sasa ngoma inakita ile ile ...
200 ipoKama kichwa kinavyojieleleza pintech fridge ya milango miwili inauzwa imetumika miezi 6 bei 350000tshs tu
Pm kwa mawasiliano zaidi![]()
daah...ndungu nna mtambo wa pinetech hapa mwaka wa nne ngoma iko freshMmmhhhh hawa pinetech nilinunua sabwoofer yao baada ya muda mfupi ikaanza kulia kama ngoma iliyolegea ngozi