Nimeona ile jana kwa TBC, nikasema...huyu jamaa anahitaji maombi. Pale angekuwa alipaswa kusema...kuanzia leo kiwanda kifungwe...na uchunguzi ufanyike na akipatikana na hatia, alipe fidia kwa umma.
Eti jamaa mwenye kiwanda anasema, sio yeye pekee anatiririsha sumu, hata viwanda vingine, vinafanya hivyo...&^%$%^^^!!!