Pinda: The weakest Link.

Mo-TOWN

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,722
515
Saw it on TV.... PM anaelezwa kiwanda kinatiririsha yanayosadikiwa kuwa na sumu ....ujumbe wake ni kama unamfahamisha kuwa juhudi zao zimekwama ... imagine anaenda kusikikiza hotuba ya wenye kiwanda kisha anazungumzia mchakato wa kumpata mshauri elekezi eti afanye utafiti juu ya sumu iliopo ktk maji na namna ya kutatua tatizo. PM ameambata na maofisa wa NEMC na wadau wengine yet anaonekana hayuko informed. Hopeless kabisa.
 
Nimeona ile jana kwa TBC, nikasema...huyu jamaa anahitaji maombi. Pale angekuwa alipaswa kusema...kuanzia leo kiwanda kifungwe...na uchunguzi ufanyike na akipatikana na hatia, alipe fidia kwa umma.

Eti jamaa mwenye kiwanda anasema, sio yeye pekee anatiririsha sumu, hata viwanda vingine, vinafanya hivyo...&^%$%^^^!!!
 
Environmental Impact Assessments siku hizi zinafanywa ofisini na sio mahala penye project... Nadhani wajibu wa NEMC maana wao ndio walioruhusu kiwanda kifanye shughuli kwa kuamini hakina madhara kwa community.

Report zichunguzwe na upya kama vipi.
 
Nimeona ile jana kwa TBC, nikasema...huyu jamaa anahitaji maombi. Pale angekuwa alipaswa kusema...kuanzia leo kiwanda kifungwe...na uchunguzi ufanyike na akipatikana na hatia, alipe fidia kwa umma.

Eti jamaa mwenye kiwanda anasema, sio yeye pekee anatiririsha sumu, hata viwanda vingine, vinafanya hivyo...&^%$%^^^!!!

Umeona! Nilikuwa disappointed kweli kweli.
 
Ndio maana mh. Lugola kamwomba mwajiri wake amuwabishe kwa utendaji mbovu. Hii ya wengine kusema kuwa ni mpole ni kumpamba tu na kumfichia udhaifu wake katika kazi.
Ikibidi ajaze OPRAS tuone kama hajalimwa barua ya onyo kwa utendaji kazi usioridhisha.
Na kwayote yanayotokea ofisini kwake haoni wala kusikia ili ajing'atue?
Shame on him na ofisi yake.
 
Tanzania hatuna viongozi wenye kutoa maamuzi magumu kwa manufaa ya watanzania,na hiyo sumu wanaathirika wananchi ambao ni maskini hapo kiwanda kilitakiwa kifungwe kuwaokoa wananchi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom