Pinda: Mafanikio ya awamu ya nne

kwa hili la mafaniko tupo pamoja sasa hivi dar - kiteto ni masaa nane tu, tunauza mazao yetu bila tabu kwa kuwa kuna miundo mbinu mizuri ya usafiri kipindi chote cha mwaka tuashukuru kwa hilo hata kwa umeme kwa kiteto unalipa leo baada ya siku tatu taa zinawaka hongereni sasa kwa hilio, lakini la posho na kiinua mgongo wananchi tunapaswa kusema NO,
 
Wachovu tu,hakuna kitu.....si mnakumbuka mamilioni ya kikwete eehe,si mnakumbuka aliahidi ajira mamilioni eehe,si mnakumbuka hata bara bara ya mbagala haijakamilika,si mnakumbuka epa,si mnakumbuka mauaji ya albino,si mnakumbuka polisi kuwauwa raia kwa bunduki,si mnakumbuka escrow,si mnakumbuka mradi wa kligamboni,si mnakumbuka mradi wa katiba mpya,si mnakumbuka ahadi yake ya tume uhuru,mshindi uraisi 50% +1,si mnakumbuka maisha bora kwa kila mtanzania......SI MNAKUMBUKA RICHMOND YA LOWASA
 
tumefanikiwa hasa kwa wizi wa kila aina...kweli Mwenyezi aliwajalia Waisrael katika vita, lakini Tanganyika ndani ya Tanzania tumejaliwa zaidi katika mbinu za kuiba.... Baba kamuibia mwanae, mke anamdalalia mumewe gari...duh Bongo raha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…