Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,611
- 164,629
Huyo cku hizi ni mnafiki kuliko hata JK
Ajatoa amri tupigwe au amesema mtu akivunja sheria na apigwe
Hana jipya huyu Pinda amepinda kama jina lake
hawezi kujibu huyu nii Waziri mkuu mzigoWanahabari wawahoji watawala mambo kama uchumi, elimu, afya, maji, ardhi, mipango miji, maliasili, ....ongezea hapo