Kiguu na njia
Member
- Dec 25, 2010
- 95
- 21
Nataka pinda afukuzwe si kujiuzuru
Nataka pinda afukuzwe si kujiuzuru
Inauma eeeeehh...!!!hakuna hoja ya msingi na ya maana hapa juu,mmeandika kwa chuki na ushabiki.....fanyeni kazi acheni kuandika vitu vya kufikirika na kusadikika apa jamvini sio mtu unaamka unakuja na ndoto zako apa kwa great thinkers,utaumbuka.............
Wadau!!!
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani Mbeya, machafuko ya Arusha na Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Aidha mchakato wa katiba mpya umeielemea serikali na haioni ni wapi pa kutokea. Kauli ya Mbunge wa Monduli na M/kiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na Mambo ya nje na PM mstaafu Mhe. Edward Lowassa kutahadharisha kuwa wakati wowote bomu la machafuko laweza kulipuka ni mwiba mwingine kwa serikali. Seriali sasa hivi inasononeshwa na kauli mbiu ya CHADEMA ya peoples power kiasi cha kuifanya kutojua ni nini kitatokea kesho. Suala la Jairo lilimfanya Mhe. Pinda kunyong'onyea na hata kujinyanyapaa mwenyewe mbele ya bunge na hata raia wa kawaida.
Kwa siku za karibuni PM Pinda ameonesha wazi kuwa ni kama kiongozi asiyekuwa na mamlaka yoyote ktk utendaji kazi na kila jambo lazima lifanywe na Rais au maagizo toka kwa Rais pekee. Kwa ujumla amekuwa ni kama ceremonial Prime Minister!! Kwa hali inaonesha wazi amekata tamaa na anaona bora liende ili mradi anapata mshahara na marupu yake. Kwa jinsi mambo yanavyozidi kuharibika ni wazi Rais Kikwete anaweza kufanya mabadiliko makubwa ili kuepuka seriali nzima kuondoshwa madarakani kwa maandamano au kura ya kutokuwa na Imani na serikali bungeni!! Watch out and see!!
Wakati haya yanatokea Mhe.
hata mpumbavu akikaa kimya akatulia atahesabiwa mwenye hekima, utamtambua tu atakapoanza kuzungumza...! Nimeongea kiswahili cha juu.
wadau!!!
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na matukio yanayoonesha wazi kuwa serikali imekosa control juu ya utawala wa nchi. Matukio ya mapambano ya polisi na wamachinga mkoani mbeya, machafuko ya arusha na chuo kikuu cha dar es salaam. Aidha mchakato wa katiba mpya umeielemea serikali na haioni ni wapi pa kutokea. Kauli ya mbunge wa monduli na m/kiti wa kamati ya bunge ya ulinzi na mambo ya nje na pm mstaafu mhe. Edward lowassa kutahadharisha kuwa wakati wowote bomu la machafuko laweza kulipuka ni mwiba mwingine kwa serikali. Seriali sasa hivi inasononeshwa na kauli mbiu ya chadema ya peoples power kiasi cha kuifanya kutojua ni nini kitatokea kesho. Suala la jairo lilimfanya mhe. Pinda kunyong'onyea na hata kujinyanyapaa mwenyewe mbele ya bunge na hata raia wa kawaida.
Kwa siku za karibuni pm pinda ameonesha wazi kuwa ni kama kiongozi asiyekuwa na mamlaka yoyote ktk utendaji kazi na kila jambo lazima lifanywe na rais au maagizo toka kwa rais pekee. Kwa ujumla amekuwa ni kama ceremonial prime minister!! Kwa hali inaonesha wazi amekata tamaa na anaona bora liende ili mradi anapata mshahara na marupu yake. Kwa jinsi mambo yanavyozidi kuharibika ni wazi rais kikwete anaweza kufanya mabadiliko makubwa ili kuepuka seriali nzima kuondoshwa madarakani kwa maandamano au kura ya kutokuwa na imani na serikali bungeni!! Watch out and see!!
Wakati haya yanatokea mhe.