Hivi unaandikia gazeti gani vile?Si jambo la kawaida kabisa, kuona Waziri Mkuu mstaafu, akisusa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa anayeziba nafasi yake; lakini leo mizengo pinda na familia yake hawakuonekana kabisa Ikulu ya Chamwino. Je, ni hasira za kuukosa urais?
Si jambo la kawaida kabisa, kuona Waziri Mkuu mstaafu, akisusa kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa anayeziba nafasi yake; lakini leo mizengo pinda na familia yake hawakuonekana kabisa Ikulu ya Chamwino. Je, ni hasira za kuukosa urais?
Majungu katika ubora wake.
Labda uwaombe Moderator waifute kukuondolea aibu lasivyo umetenda kosa.
Ni aibu mwandishi wa habari kuleta uchonganishi na uchochezi usio wa msingi! Hivi ni lazima mizengo atokee pale na hata kama hayupo ndio sababu ya kusema amesusa? acha uchochezi
Hivi unajua umefanya uhalifu wa kimtandao na ni haki yako kupandishwa kizimbani?
WeweUngemuuliza kwanza ujue sababu.halafu Manyerere kwny thread zingine tumia fake ID,pumba ukilinganisha na status yako
[emoji23][emoji23] akirudi ataomba radhiUngemuuliza kwanza ujue sababu.halafu Manyerere kwny thread zingine tumia fake ID,pumba ukilinganisha na status yako