narenanyuki
Member
- Nov 6, 2014
- 26
- 9
Kweli hawafanani kabisa huyu mzee wa kulialia yule mzee wa amri tu!halafu hii tabia ya kumchgulia mtu upande wa kuwa umeitoa wapi?au ndivyo ulivyoaminishwa kuwa huwezi kuona upungufu wa huku mpaka uwe kule???
Wewe unasema mzee wa kulialia lkn Albino leo wanakumbuka chozi la Mtoto wa Mkulima na dunia inahuzunika kwa ukatili huu
Mkuu Narenanyuki naungana na kauli yako ni kweli leo Mizengo Pinda dunia inamkumbuka lile chozi alilia kama mzazi lkn pia kama kiongozi alisimamia sheria kuwapa nguvu jeshi la polisi kudhibiti mauaji ya Albino. Mtakumbuka kwa muda ule ilikua haipiti siku tunapata taafufa za mauaji ya albino lkn nyinyi ni mashahidi takwimu za mauji na ukataji wa viungo vya albino imeshuka tofauti na kipindi kile.
Kosa kubwa ambalo tulilifanya hatukumuunga mkono Waziri Mkuu tukaendekeza personal attacks kwa Mizengo Pinda kwa maslahi ya wanasiasa wasaka tonge
ameshachelewa aone uchaguz ndo ajifanye mkali hanalolote ni dhaifu tu hatufai
wakati ameendelea kukurupuka,muuliza kama kuna bajeti ya kuhamisha hao watu ghafla ivoKwahyo ulitaka akurupuke kufanya maamuzi, kajipange upya. Tunahitaji kiongozi mwenye busara na hekima, muadilifu na mchapa kazi kama Pinda