Pinda ameichagua Mtwara!

mkuu kichwa chako cha habari hakireflect watu wakitakacho, unaleta zile ngojera za kifasihi mashuleni. we do not need that.
 
​Ni wakati muafaka sasa kujadili katika katiba mpya umuhimu wa wananchi kuchaguwa wakuu wao wa mikoa ambao wanaelewa matakwa na shida ya wananchi wa mkoa husika!

Mi sioni umuhimu wa kuwa na mkuu wa Mkoa wakati kuna RAS, ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, wala haina haja ya kupiga kura ya kuwachagua ma RC, wasiwepo kabisa na pamoja na ma DC katika Government structure
 
Tunaweza kuamua katika katiba mpya kutokuwa na wakuu wa mikoa kama walivyo hivi sasa lakini ili kupungunza madaraka ya rais kutuchagulia watu wasiotufaa ni muhimu kuwa na serikali za majimbo ambazo zitaongozwa na magavana wa kuchaguliwa na wananchi!
 
Hivi alishamaliza kushughulikia MADAI ya madaktari....????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…