Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Ni kweli Mkuunadhnani kwa sasa hali ni tete wananchi na watawala wanahitaji muda kwa hiyo mradi usitishwe kwaanza mpaka pale kutakapokuwa na maelewano vinginevyo itakuwa imetangazwa ukanda wa vita na hii itakuja kusambaa maeneo mengine ukiangalia saikolojia ya wananchi wengi wanawaunga mkono wana mtwara
Ni swali la msingi sana MkuuLakini, pamoja na Pinda kuichagua Mtwara, hivi ana uwezo wa kubadili mfumo ambao umekuwa ukitawala utendaji wa viongozi wetu kwa miongo yote hii mitano? Kwa maana, ukisoma kwa makini aliyoambiwa Pinda na wale aliokutana nao huko Mtwara utabaini wazi wazi kuwa tatizo hasa si gesi hii ya sasa, haya ya gesi ni matokeo ya matatizo ya wana-Mtwara ambayo yalianza tangu enzi za ukoloni. Pinda anaweza kuyarekebisha hayo kwa ziara ya siku hizi chache?
Si mchezo! Wapi THE BIG SHOW atupe taarifa?Kuna kauli inazidi kusambaa kwamba "kama ndege yake ina nafasi basi akiondoka asiumache Kanali SimbaKalia"...niujumbe tosha kwamba m-metudharau vya kutosha, Hatuhitaji tena siasa, bali ni utekelezaji, hata hapo site ya Dangote ni pori tupu tuna mashaka kuingizwa mkenge kwa hili!!
Si mchezo! Wapi THE BIG SHOW atupe taarifa?
Ni sawa kabisa kwani wananchi wa sasa kinachotafutwa ni starting point na Mtwara huenda ikawa sehemu ya kuanzia kuna uwezekano hii ikasambaa sehemu nyingine pia,tatizo watu wamepigika na maisha huku wengine wakineemeka.Hii ni hatari serikali ijitathmini vipya,watu hawataki bra bra wanataka maendeleo yanayoonekana siyo ya kwenye makaratasinadhnani kwa sasa hali ni tete wananchi na watawala wanahitaji muda kwa hiyo mradi usitishwe kwaanza mpaka pale kutakapokuwa na maelewano vinginevyo itakuwa imetangazwa ukanda wa vita na hii itakuja kusambaa maeneo mengine ukiangalia saikolojia ya wananchi wengi wanawaunga mkono wana mtwara
walikosea sana kuwaita wanamtwara ni wahaini je wakiamua kuwa wahaini kweli nchi itaenda kweli?Waziri Mkuu kama anaenda kumaliza tatizo basi yafaa aanze na wale wote waliotoa kauli kuwa wana Mtwara wahaini zaidi ya hapo hakuna atakachopata maana kufanya mikutano na viongozi bado hakutatui tatizo zaidi ya kuitisha mkutano na awaambie wananchi kile wanachotaka kusikia,vinginevyo hakuna la maana analofanya hujko.
the big analijua hili....ngoja atafunguka muda si mrefu...!!
Ndio tatizo la viongozi wetu kukurupuka na kutoa matamko bila kufikiri madhara yake,tumeona nguvu ya umma kule Masasi na kile kilikuwa kikundi tu cha watu,je leo wananchi wakiamua kutumia nguvu zao hakuna atakayesalimika nchi hii.walikosea sana kuwaita wanamtwara ni wahaini je wakiamua kuwa wahaini kweli nchi itaenda kweli?
Teh..teh..Pinda nikupinde..mutoto ya mkulima toka Sumbawanga..karibu Mtwara..View attachment 81296View attachment 81296
Kuna kauli inazidi kusambaa kwamba "kama ndege yake ina nafasi basi akiondoka asiumache Kanali SimbaKalia"...niujumbe tosha kwamba m-metudharau vya kutosha, Hatuhitaji tena siasa, bali ni utekelezaji, hata hapo site ya Dangote ni pori tupu tuna mashaka kuingizwa mkenge kwa hili!!