Huyu mzee is more Idiot that I really thought!Kwa hiyo pale bungeni tunachezewa danadana tu!Huyo kapinda kama jina lake lilivyo!
Huyu mzee is more Idiot that I really thought!Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni, alisema Waziri Mkuu.
Kwa hiyo pale bungeni tunachezewa danadana tu!Nyambafu!
Huyu mzee is more Idiot that I really thought!Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni," alisema Waziri Mkuu.
Kwa hiyo pale bungeni tunachezewa danadana tu!Nyambafu!
Sunday Feb 21, 2010
PRIME Minister Mizengo Pinda (left) gets some briefing from Igunga MP, Rostam Aziz today on the Mwamapuli pound which is used for irrigating farms in Igunga District Tabora Region, where the Premier is on official tour. (Photo by PMO)
Huyu mzee is more Idiot that I really thought!Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni," alisema Waziri Mkuu.
Kwa hiyo pale bungeni tunachezewa danadana tu!Nyambafu!
Katika hili tusimlaumu, alikwishaweka wazi tangu siku ya uteuzi wake kuwa ataendelea kuwa mwanafunzi mtiifu na mwaminifu kwa bosi wake wa zamani Lowasa. Nashangaa amekuwa anapewa sifa asizostahili mara mtoto wa mkulima, mara hajajilimbikizia mali, ...!
Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni," alisema Waziri Mkuu.
Pinda ambeba Rostam Igunga
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Igunga; Tarehe: 21st February 2010 @ 23:59
HabariLeo
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amewataka wananchi wa Jimbo la Igunga mkoani Tabora kutomkataa mbunge wao Rostam Aziz wakati wa uchaguzi mkuu ujao kwa kusikia maneno yanayosemwa bungeni juu yake, badala yake wazingatie kile alichowafanyia akiwa mbunge.
......., baadhi ya wananchi wa jimbo hilo walimwomba Waziri Mkuu kumshinikiza mbunge wao kubaki jimboni humo, kwani amekuwa haonekani.
.......Msisikilize kile kinachosemwa bungeni juu yake. Bunge lina mambo yake, mimi kama Waziri Mkuu nafahamu mambo ya pale bungeni," alisema Waziri Mkuu.
.