OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Kwa hili pinda naye apigwe tu! Maana tumechoka!Mzee wa vipigo pinda naye ni wakumjadili??mi nfikir wamuache tu.huyu hana madhara hata kidogo
Kwa habari zilizovuja usiku wa jana ndani ya CCM ni kwamba baada ya pinda kutangaza nia ya kuwania urais ..Makada wa chama hicho walikutana na kupitisha azimio kumwandikia Pinda Barua ya kujieleza kwanin kavunja kanuni za chama na Hasa kwa kusema kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiye chaguo lake.
Kilichosukuma CCM kufanya hivyo ni pressure kutoka kwa vyama pinzani kuja juu kuhusu pinda kutumia Mali za umma kwa manufaa binafsi ya kujiweka urais 2015.Chezea CCM wewe!.
ccm siyo kama CDM ni chama cha watu siyo cha mtu, hakuna aliyoko juu ya sheriaGeresha tu, Nape amwandikie Pinda wakati ndio anafurahi maana anamwogopa Lowasa kama Radi
Yuko night, wenzake wamemwachia Id zao atakuwa anajijibu mwenyewe, angalia maneno anarudia rudiaWewe ni #team ya nani mkuu.
Mtakuja na kila Maneno ya uzushi kimsingi Pinda kawabana pabaya.@ kambi ya luwasa hailali usiku kucha na bado matakwenda German sana tuKwa habari zilizovuja usiku wa jana ndani ya CCM ni kwamba baada ya pinda kutangaza nia ya kuwania urais ..Makada wa chama hicho walikutana na kupitisha azimio kumwandikia Pinda Barua ya kujieleza kwanin kavunja kanuni za chama na Hasa kwa kusema kuwa Mwenyekiti wa Chama ndiye chaguo lake.
Kilichosukuma CCM kufanya hivyo ni pressure kutoka kwa vyama pinzani kuja juu kuhusu pinda kutumia Mali za umma kwa manufaa binafsi ya kujiweka urais 2015.Chezea CCM wewe!.
ccm siyo kama CDM ni chama cha watu siyo cha mtu, hakuna aliyoko juu ya sheria