Car type:Toyota starlet
manufactured yr :1999
Eng capacity:1390cc
music system:music booster 1200watts
added advantage: gari ina matunzo kama inavyoonekana na kila kitu kwenye gari ni up to date ikiwemo comprehensive insurance.
Serious buyers pm for more details or call 0717297923
nimekaona jana maeneo ya kimara mida ya mchana
kwenye foleni za malori..
kapo vizuri ase
kwan unapatikana wap ndugu??
kweli eeh
Aisee bado tu hujaiuza toka mwezi wa kumi na mbili unakumbuka nilikwambia nikupe 5Mill ukakata mkuu bado unang'ang'ana na juu hivyo zile kasoro nilizokwambia ulizifanyia kazi???