Pima uwezo wa macho yako!!

Huyo ni zombi au vampire ukitazama kwa kuigeuza kila upande utaona mdomoni mwake kuna incha za meno zimetokeza
 
kama huoni picha halisi basi nenda fasta kwa mtaalam wa macho ukapimwe.

Hata less than 10 sec, unaona mdada mrembo sana with nice smile
 
Nimeona picha halisi ya huyu bi dada... ili inakuwaje Mzizi Mkavu help plz
 
...mmmh!! Hii kitu inachanganya kidogo na kwa upande wangu nashindwa ku-connect dots kama ni kipimo cha macho au ni kiini macho. Nimejaribu kufanya hivyo zaidi ya mara tatu, namuona mdada anatabasamu kisha anatoweka na sura yake ile ile kwa zaidi ya mara tatu nilizojaribu.

Mkuu, Ebu tuelezee ni kitu gani kinafanyika katika hizo picha. Macho yangu nafahamu sio mazima kivile lakini hii picha ya Mdada naiona, kwahiyo niwaamini nyie au Daktari alieniambia nina matatizo ya macho?
 
Nmewapa na washkaj zang wachek ila ni yaleyale.utoto mtupu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…