Pima uwezo wa macho yako

....ni rahisi kuliona
 
kuna watu watashindwa lakini wataweka like
HARUFU pita huku
 
Last edited by a moderator:
Nimeonaaaa 6 kushuka ila sijatoa jb mm
 
Juu, anzia upande wa kushoto kuelekea upande wa kulia kuanzia Y mpaka F (YMPJF) inayofuata G shuka nayo chini.

bysange
nimeshafika hapa, ahsante kwa mualiko
 
Unachofanya ni kutafuta G na kuangalia herufi zinazofuatia kama zinafanana.
 
huyu jamaa yuko strategic sana kupata LIKES.............nimekupa tu LIKE mkuu maana neno linaonekana kirahisi sana
 
huyu jamaa yuko strategic sana kupata LIKES.............nimekupa tu LIKE mkuu maana neno linaonekana kirahisi sana

Hahahahahaaaa, sina nia yangu mkuu kupata likes kwa kuwa haziniongezei
wala kunipunguzia kitu, hata hivyo najua ume-like kwa kuwa umeliona. Najua
neno lipo peupe kwa maana, mtu hawezi kudhani kama lipo hapo, na badala
yake atakimbilia kuangalia sehemu nyingine kabisa, huu ni mtego tu...
 
Juu, anzia upande wa kushoto kuelekea upande wa kulia kuanzia Y mpaka F (YMPJF) inayofuata G shuka nayo chini.

bysange
nimeshafika hapa, ahsante kwa mualiko
Hapa umemfunika hadi utafiti sema atatazamia hapa,hahahaaaaa
Ahsante kwa kuitikia mwaliko
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…