Pilot Michael Johnston dies during American Airlines flight

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,602
Reaction score
22,707
Dharura inaweza kutokea popote na wakati wowote, unaweza kupata picha hofu utakayokuwa nayo ikitokea mko katikati ya safari kwenye Ndege angani alafu Rubani anafariki !!

Ndege ya American Airlines iliyokuwa imetoka Phoenix kwenda Boston Marekani imelazimika kutua kwa dharura Uwanja wa Syracuse, Hancock International Airport New York baada ya Rubani wa Ndege hiyo, Michael Johnston kufariki.

Kifo chake ilikuwa ghafla tu ambapo baada ya hali yake kuwa mbaya alianza kupata huduma ya msaada kutoka kwa mmoja ya wahudumu wa Ndege lakini muda mfupi baadae akafariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…