Print Fly Member Joined Oct 12, 2021 Posts 50 Reaction score 48 Apr 20, 2022 #1 Wakuu habari za majukumu Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana ninahitaji kupata ili nitumie katika biashara yangu.
Wakuu habari za majukumu Nimatumaini yangu mko PowAhh. Naomba kupata mwongozo kwa yoyote mwenye kufahamu process na mambo muhimu ya kuzingatia ili uweze pata pikipiki za mkataba kutoka NMB maana ninahitaji kupata ili nitumie katika biashara yangu.
REJESHO HURU JF-Expert Member Joined Mar 6, 2014 Posts 5,160 Reaction score 11,263 Apr 20, 2022 #2 Umesiki wapi NMB wanatoa pikipiki z amkataba au unauliza unataka kujua kama wanatoa hizo pikipiki