the swaggaz boy Member Joined Dec 21, 2013 Posts 97 Reaction score 59 Aug 22, 2018 #1 Pikipiki aina ya Boxer ikiwa na mwaka mmoja inauzwa kwa bei ya sh 1,500,000/=. Haina tatizo lolote la kiufundi. Inapatikana Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam.
Pikipiki aina ya Boxer ikiwa na mwaka mmoja inauzwa kwa bei ya sh 1,500,000/=. Haina tatizo lolote la kiufundi. Inapatikana Mtoni Kijichi, Mbagala kuu, Temeke, Dar es Salaam.
walitola JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 4,849 Reaction score 5,694 Aug 22, 2018 #2 Ngoja wadau wanakuja soon Sent using Jamii Forums mobile app
kiri12 JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 638 Reaction score 558 Aug 22, 2018 #3 Kwanini unaiuza? Imetumika mda gani? Sent using Jamii Forums mobile app