Picha kwa sasa mkuu sitaweza sababu zipo kwenye pc na mimi nimepost kutoka kwenye simu labda baadae,ila documents zote na risiti zake zipo,rangi ni maroon/red.
Picha kwa sasa sitaweza sababu zipo kwenye pc na mimi napost kwa ktumia simu,labda baadae niktulia,ila documents zake halali pamoja na risiti za manunuzi zipo,rangi ni maroon/red