jamani acha kuniharibia soko basi mkuu,hii ni Honda ACE CB125-DBoxer hiyo,,naskia hairuhusiwi kuingia nayo mjini hiyo sijui kweli au ndo maneno ya watu..
lazkini ni nzuri sn
Attention to details ni kipaji,huoni attachment inasoma HONDA.si wote wamejaliwa kipaji hicho si kosa lako bali la aliyekuumba.Haina jina?
Attention to details ni kipaji,huoni attachment inasoma HONDA.si wote wamejaliwa kipaji hicho si kosa lako bali la aliyekuumba.
Hailipi mkuu mwisho 1.2M.Hii ni Honda original from Japan si mchina.chukua 0.9M mkuu!
mpita njia tu wewe na wala si mnunuaji,tambaaaaa....hapakuhusu hapa na wala hujaelewa ujumbe huu.Eh, Makubwa! biashara nayo ni kipaji kumbe, maana majibu ya namna hiyo hayafai kwa mteja!
Wateja na wapita njia wanaeleka katika hii nyuzi@ CYBERTEQ ni mmoja wapo,pita kushoto na waachie serious buyers ONLY.Eh, Makubwa! biashara nayo ni kipaji kumbe, maana majibu ya namna hiyo hayafai kwa mteja!
Mkuu ina muda gani barabarani? Au imesajiliwa lini tuambie namba yake tuone.
Hailipi mkuu,mwisho 1.2M.1M Kama inalipa pm me
Wateja na wapita njia wanaeleka katika hii nyuzi@ CYBERTEQ ni mmoja wapo,pita kushoto na waachie serious buyers ONLY.
helloNami nnauza Bajaj Boxer Bm 150:-
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/511348-bajaj-boxer-bm-150-inauzwa-bei-poa.html