Rene Jr. JF-Expert Member Joined Jan 31, 2014 Posts 3,737 Reaction score 2,402 Feb 28, 2015 #21 yaani kujibu tu kama pikipiki ina namba mpya mpaka upigiwe simu?...hahaaaa
P Pamoja5 Member Joined Feb 26, 2015 Posts 5 Reaction score 1 Feb 28, 2015 #22 Ukisikia kuuziwa mbuz kwa gunia ndio hii,hana maelezo ya kumshawishi mteja
vidodi JF-Expert Member Joined Sep 4, 2014 Posts 363 Reaction score 130 Mar 1, 2015 Thread starter #23 Nikisema inayo namba mpya ndo utapiga ama vipi na kama una Nia nimesema utapiga tu simu kuuliza wenye Nia wameshapiga simu sana kuuliza ila ambao mna akili za ubishi mnaendelea kujibishana haya endeleeni kubwabwaja
Nikisema inayo namba mpya ndo utapiga ama vipi na kama una Nia nimesema utapiga tu simu kuuliza wenye Nia wameshapiga simu sana kuuliza ila ambao mna akili za ubishi mnaendelea kujibishana haya endeleeni kubwabwaja