Pikipiki inauzwa bei poa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
Pikipiki aina ya fekon namba C ni yangu simu imeshindwa Kuupload pic ipo katika hali nzuri sana haijawahi kufunguliwa injini zaidi yakumwaga oil tu na nimebadilishwa tail la nyuma tu bei 900,000 na maongezi yapo ipo Temeke Dar es salaam.

Simu 0755984282
 
Aisee simu imeshidwa hata ku edit maneno,maana naona umenipigia kilungha.
Mkuu bila picha utasumbuka sana kuuza.Maana wengi hutumia lugha kama yako
 
Pkpk aina ya fekon namba C niyangu simu himwahindwa Ku down road pic ipo katk hal nzuri sana haijawai kufunguliea injini zaidi yakumwaga oil tu na nimebadilish tail lanyuma bei 900,000 maongez yapo ipo temeke dar es salaa. Simu 0755984282
Poxino iandike tena post yako kwa uzuri na jitahidi utume na picha! Post yako ya sasa japo inaeleweka lakini ina makosa ya kiuandishi kibao, Fanya marekebisho tafadhali
 
Last edited by a moderator:
Poa Mkuu nitajitaidi kuweka picha
 
Asanten nimesha uza
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…