Pikipiki inauzwa 800,000

Pikipiki inauzwa 800,000

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
Pikipiki aina ya Skymark B2 original from india Cc125 imetumika miezi 12.

Haina tatizo lolote bei 800,000 iko Tabata Kimanga.

0717022737 kwa mawasiliano
 

Attachments

  • 1450207795615.jpg
    1450207795615.jpg
    106.8 KB · Views: 904
  • 1450207825486.jpg
    1450207825486.jpg
    108.4 KB · Views: 568
  • 1450207854134.jpg
    1450207854134.jpg
    109.4 KB · Views: 475
  • 1450207888463.jpg
    1450207888463.jpg
    113.8 KB · Views: 774
sasa hapo heshima imeshushwa vipi hiyo pikipiki tungetegemea ingekuwa na namba mpya sasa hizo zilizopo unaweza ukaenda ku re new number ukayasikia hayo anayoyasema huyo mdau hapo
 
sasa hapo heshima imeshushwa vipi hiyo pikipiki tungetegemea ingekuwa na namba mpya sasa hizo zilizopo unaweza ukaenda ku re new number ukayasikia hayo anayoyasema huyo mdau hapo

Duuh..
hilo neno
 
Mimi ninayo kama hiyo bei 750000,namba mpya na bado iko bomba sanaaaa.kwa anaye hitaji ani pm nimuachie mzigo
 
Jamani fasiliteta kutengeneza thread yako na ukapost hio pikipiki kuna tatizo mbona unakuwa hivo.
 
Last edited by a moderator:
Nina hela mkononi na ningependa kuinunua ila bahati mbaya niko Mwanza Erick kg
 
Last edited by a moderator:
Mimi yangu nauza laki nane 800000 aina ya kinglion. NiMP tufanye biashara nani nambampyaa
 
Tatizo kuna pikpik ambazo hazijalipiwa kod kwa hiyo kama kad yake haina muhur wa kuonyesha iliponunuliwa na hana risit kaa nayo mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom