Aisee yaani wewe huna kazi zaidi ya kuvamia post za watu kila kukicha.Unaboa ile mbaya,
Unauza kiwanja kama vile cha wizi kwa kulazimisha kila post,nyingine hata hasihusiani na mambo hayo kabisaa.Hembu kuwa mstaarabu na jifunze kwa wenzio.