The Red Pen
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 517
- 206
utajuaje kama co ya wizi mkuu?
Kuna super Huoniao inauzwa ... Pikipiki za kitanga !!! Number CVL ... Ishabadilishwa kwenda namba mpya !!! Ipo kariakoo dar es salaam ...
0655 518090
Nitafute nikupe piki piki sina ya sky mark nnayo bei 1.3mlnPikipiki iliyotumika inahitajika haraka. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:-
1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja.
2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu.
3: Iwe na nyaraka zote mhimu za umiliki.
4: Iwe ndani ya Dar es salaam.
5: Isiwe mbovu.
Haya sasa wakuu kazi kwenu....
Nitafute nikupe piki piki sina ya sky mark nnayo bei 1.3mln