Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Ipo wapi mkoa gani?
Please registration ipi hiyo?
CTR. Mkuu
Kula milioni ndugu
Mkuu ipo milioni moja point moja kama utakubaliana na hiyo bei nipigie no 0754267585 nipo dsm na piki piki isiwe mbali sina uwezo wa kusafirisha
Bei 1.3 mil,maongezi yapo baada ya mteja kuiona. Piga 0714 045 080. Karibu
Vp kiongozi umeshaiuza hii pikipiki?
IPO bado mkuu
Umechelewa kunijibu.... nimesha nunua kwingine.... Nimenunua tvs mupya baada ya kuona kimya.
Next time piga cm mkuu