Mlevihalisi
Member
- Dec 9, 2017
- 19
- 3
Nilinunua milioni 2,300,000Ulinunua bei gani?
Nilinunua milioni 2,300,000
Boxer sasa zimepanda bei zaidi ya hapiUnajua bei ya sasa dukani ni kiasi gani?
Ungeweka na picha yake maandishi matupu hayasaidiiHello wapendwa wa jf,,nauza pikipiki yangu boxer bm 150, pikipiki niliinunua mwez wa tano mwaka Jana! Nilikuwa naitumia kwa matumiz binafsi ya kuendea kazn na kurud nyumbani!! Kwa sasa sina matumiz nayo baada ya kupata usafir mwingine!! Pikipiki bado inavutia na haijawah kupigwa spana zaid ya service ya kawaida! Bei n 1,800,000 lakin maongez yapo! Napatika DSM kigambon lakin pikipiki nimeitunza ofisin kwangu posta! Njoo uikague
NB: Starter haipigi kwa sababu ya kukaa mda mrefu bila kutumika,,karibun
Kwa sasa cjui lakin ukihitaj mpya toka showroom nna ndugu yangu pale makao makuu yao ntakupeleka ukanunue,,sikushaur kununua za madukan mf kariakoo wanabadilisha mashine hivo itakusumbua!! KaribuUnajua bei ya sasa dukani ni kiasi gani?
Ndugu sina utaalam huoUngeweka na picha yake maandishi matupu hayasaidii
Cjaigusa kabisa msema kweli n mpenz wa Mungu!! Picha sina utaalamKama hujaikorokochoa utauza upesi sana kulingana na hiyo bei.
Cha muhimu weka picha watu wakavunje vibubu
Fanya na 450,000 uje uichukueMkuu kula 1.3 fasta
Angalia ubora na uimara ndugu!! Njoo ukague utaipendaPikipiki uliyo yotumia mwaka mzima utauzaje bei hiyo mkuu
bila picha mkuu...haishawishiHello wapendwa wa jf,,nauza pikipiki yangu boxer bm 150, pikipiki niliinunua mwez wa tano mwaka Jana! Nilikuwa naitumia kwa matumiz binafsi ya kuendea kazn na kurud nyumbani!! Kwa sasa sina matumiz nayo baada ya kupata usafir mwingine!! Pikipiki bado inavutia na haijawah kupigwa spana zaid ya service ya kawaida! Bei n 1,800,000 lakin maongez yapo! Napatika DSM kigambon lakin pikipiki nimeitunza ofisin kwangu posta! Njoo uikague
NB: Starter haipigi kwa sababu ya kukaa mda mrefu bila kutumika,,karibun
Nimeshakutumia brooNielekeze kwenye Pm nije kuiangalia,ila punguzo halitakosekana najua
N kweli ndugu,bei ya pkpk mpya pia inafukuzana na passo yenye na cccDuh mkuu bei hiyo iko juu, maana inafukuzana na toyota sprinter used yenye usajili BAA.
Nipe namba ya huyo muuzajiKwa sasa cjui lakin ukihitaj mpya toka showroom nna ndugu yangu pale makao makuu yao ntakupeleka ukanunue,,sikushaur kununua za madukan mf kariakoo wanabadilisha mashine hivo itakusumbua!! Karibu