Pikipiki Boxer BM150 inauzwa

Bwiree

Senior Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
164
Reaction score
103
Imetumika mwaka miezi 7tu nahaina matatizo yoyote haijaganyiwa mabadiliko yoyote ni Mali original ya Muhindi Bei ni 2milions bila kwa mawasiliano 0678721565 au 0758393837
 
Miez saba mbona mingi mana yake umepunguza laki moja tu mkuu
 
Mwaka na miez 7 iko used sana tafakari upya hiyo bei yako mkuu
 
Chukua M1 nikawape vijana wachezee mkuu.
 
Mkuu humu utapata kila aina ya kejeli.
Lkn wewe kuwa mpole wateja watakutafuta tu maana humu wengi wanatumia tu data ili siku ziende sio wateja wala nn.
 
Nikisha kuwa na hiyo hela si bora niende dukan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…