M Manselly JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 456 Reaction score 130 Aug 13, 2014 #1 Jamani mwenye pikup tani moja iwe ya Nissan au Toyota tuwasiliane ofa mil tisa ila kama inakidhi viwango hata kama zaidi ya hapo tunazungumza. Iwe nzima yenye no kuanzia b pia ianzie mwaka 1996
Jamani mwenye pikup tani moja iwe ya Nissan au Toyota tuwasiliane ofa mil tisa ila kama inakidhi viwango hata kama zaidi ya hapo tunazungumza. Iwe nzima yenye no kuanzia b pia ianzie mwaka 1996