Picha zingine hazina maana hapa duniani

Nimejilaumu kwa nn nimefungua, hata hamu ya Msosi imeisha kabisa
 
kweli hazina maana na umeniharibia siku
 
dinner leo sitaweza kula mpaka hii picha itoke kwenye kumbukumbu zangu....aliyeweka ni mwanaharamu...kanaichefua mbaya!
 
Daaaa huku nimefuata nini sasa....aaaagrrrrr
 
dinner leo sitaweza kula mpaka hii picha itoke kwenye kumbukumbu zangu....aliyeweka ni mwanaharamu...kanaichefua mbaya!

Huyu nu zaidi ya mjinga hiv mod haoni uchafu huu
 
Kuna moja kama ya Amavubi ya jamaa anatoka kanasi hadi mdomoni iliwekwa kwenye thread moja hapa jf photo, mwenye nayo aiweke hapa.
Cc: mshanajr.
 
Last edited by a moderator:
Jamani mjuao kidhungu, kamasi kwa kiingereza wanaitaje?
 
dinner leo sitaweza kula mpaka hii picha itoke kwenye kumbukumbu zangu....aliyeweka ni mwanaharamu...kanaichefua mbaya!
Tatizo sio picha ila wewe na wengine kutaka kujua kila kitu.Wewe angalia views walivyo wengi inamaanisha Picha ina maana ndio maana ukaja na umecomment.
 
Safi sana,kama ni demu unampiga denda kuanzi kamasi lake unalichukua hadi mdomoni kwake halafu munaanza kupokezana mara yeye mara wewe mwishoni unalimeza tu na unamwambia atoe na mengine
 
Safi sana,kama ni demu unampiga denda kuanzi kamasi lake unalichukua hadi mdomoni kwake halafu munaanza kupokezana mara yeye mara wewe mwishoni unalimeza tu na unamwambia atoe na mengine

Watu wengine bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…