"Kama serikali walidhani wananikomoa na kunilaza Segerea ni sawa na bure, kwa sababu nimekula bata ambalo sijawahi kula huko mahabusu na kama tulikuwa tunachechemea sasa CHADEMA tunakimbia"
Hayo ni maneno aliyoyasema jana Mbunge wa Kawe Halima Mdee baada ya kuachiwa jana kwa dhamana.