Picha yenye maana tata

Hii ilitokea kama coincidence tu....
Hapo ilikuwa kwenye ibada ya mazishi ya kiongozi mmoja wa dini huko kaskazini, sijui kama itakuwa hivyo kama wanavyodhani wengi..... Tusubiri oktoba
 
Mzee Mwinyi na Lowassa ni km wanasinzia???
 
Mbona kawaida sana! angekuwa kavaa kimini ndiyo ningeona maajabu!
 
Tungo tata kweli acha tusubiri mwalimu atupe majibu october
 
hapo mzee ameshapiga glass kadhaa za juise kawa mpole
 
Hii nchi tutakufa kwa umasikini yani kunywa juisi mpaka mtu aende ikulu.!?
NAKUMBUKA ENZI ZA MWALIMU ILIKUWA NI PILSNER,KUNA KIONGOZI ALIZIMIKA IKAWA AIBU,VYEMA TUSIMTAJE.
TOKA WAKATI HUO MWALIMU AKAPIGA MARUFUKU VIONGOZI WAKE KULA POMBE KATIKA HAFLA IKULU.
:becky::becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…