Picha ya Siku

Haliali

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
574
Reaction score
263
picha ya siku

 

Attachments

  • picha ya siku.jpg
    21.5 KB · Views: 2,737
yaani watu wanataka mabadiliko tu. hawataki habari nyingine
 
Tanesco wafungue kesi ya '' KUHARIBU MIUNDO MBINU YA UMEME"
 
Sitashangaa kusikia mwenye roli kakamatwa!
 
Bangi tupu zinawasubua

Kama mwenye akili akija hapa atakushangaa ww unaeshangaa washabiki wa ukawa kufanya ambayo yule aliyeshikwa na mdada wa kwa moi anafanya akiwa jukwaani pole mwaka huu mtasema yote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…