englibertm JF-Expert Member Joined May 1, 2009 Posts 9,252 Reaction score 6,211 Jun 21, 2014 Thread starter #2 Mwanamuziki Nguza Viking na mwanawe Johnson Nguza pamoja na wafungwa wengine wakitumbuiza umati wa watu waliohudhuria sherehe za siku ya Magereza zilizofanyika katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam
Mwanamuziki Nguza Viking na mwanawe Johnson Nguza pamoja na wafungwa wengine wakitumbuiza umati wa watu waliohudhuria sherehe za siku ya Magereza zilizofanyika katika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam
1gb JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 2,395 Reaction score 3,298 Jun 21, 2014 #3 Mbona hawajavaa zile sare zao halali.