englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Mkuu utafiti hiyo ya pili wanatangaza au kuonyesha uzuri wa hilo daraja au ni jamaa kaamua kucheza gofu barabarani
Nzuri sana mkuu englibertm
I wish tungekua nako kama hapo ata kamoja mkuu Mr Rocky
Mkuu utafiti wacha tuu aise yaani tukiangalia haya makorongo yetu huku barabarani na tukiangalia za wenzetu unajiona yaani sijui upo wapi
Jana wanaonyesha magari yamekwama maeneo ya posta dar kwa sababu ya mashimo barabarani ya mvua imagine posta dar
Kama posta panatushinda na huko kwa mtogole itakuaje? Ila me naamini serikali hii hii inaweza ila sijui nani mchawi wetu, Mr Rocky kama unakumbuka kile kipindi alokuja obama, imagine angekaa kama mwezi hapa dar
Mkuu nafikiri tungepata barabara ya six lane hapo dar tena full kuwaka waka
ipi kati ya hizo mbili!Hii picha ilipigwa saa ngapi?
ipi kati ya hizo mbili!
mkuuu na nadhani ni jioni!ila sina justification!Ya kwanza mkuu
mkuuu na nadhani ni jioni!ila sina justification!