Picha ya siku

...Hongera Mr. Mkindi!
kama maeneo ya nyumbani vili!
 
Haiwezi kuwa bongo. Ingekuwa bongo ungeona tayari daraja limegongwa kingo zake na daladala tayari imeshatumbukia mtoni. Huwa zinagongwa taa za kuongozea magari na taa za barabarani ambazo ziko mbali na yanakopita magari sembuse kingo za daraja.
 
Kwa miguu nitavuka ndani ya gari utanisubiri sanaaaaaa duh !!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…