picha ya siku

Iringa town hiyo barabara huko mbele ndio inaelekea hadi kule makaburini
 
singida...

mmmh!! ulivyoona mawe na maji tu ukajua ni Ziwa Singidani...
Hiyo picha ya pili ni Ziwa Victoria na hayo mawe hutambulika kama mawe ya Bismarck
 
Ngambo Ngali , Umepatia , Bila yale ya nmc hapo ingekua ngumu kutambua
 
Last edited by a moderator:
Ni Iringa mjini. Nampongeza mpiga picha.Kajitahidi sana kupata view nzuri.Jengo la ghorofa la kwanza upande wa kulia linamilikiwa na mzee mmoja hivi ambaye anadai kila siku huwa anaokota kofia za watu wanaoinua vichwa vyao kwa kutazama ghorofa lake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…