Hii ni milima ya Mombo ukielekea Lushoto. Huwa nafurahia kuendesha gari kwenye milima hii hasa kama hakuna gari inayokuja kwa kasi kwenye zile kona kali.