Picha ya siku

Kweli serikali imeona mbali sana kuwaweka kando hawa walimu histori kumbe wanafanya upuuzi tu hata chuoni.
Na wewe ni kilaza tu..........mbona ameshika calculater kama kweli ni somo la history?........

Au labda siku hizi kuna calculation kwenye history??........
 
Na wewe ni kilaza tu..........mbona ameshika calculater kama kweli ni somo la history?........

Au labda siku hizi kuna calculation kwenye history??........
Kilaza ni yule aliyekariri kila mwenye calculator ni anapiga hesabu au natural science subjects. Ona sa mjomba wako hapo juu kagonga picha na calculator akipiga paper ya ED-Measurement&Evaluation in Education.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] tuna safari ndefu .... afu njia yenyewe imejaa "makorongo" ....... by the way kwangu mie naona shida ni kwa mtahiniwa kutokulielewa swali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…