Picha ya siku ya Mike Sonko

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

enator Mike Sonko hivi karibuni ameweshangaza rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto kwa kuvalia vazi ambalo sio sahihi kwenye shughuli kama iliyokuwa ikiendelea na kuonekana tofauti na kila kiongozi aliyekuwepo eneo hilo
 
Ingekuwa kwetu hiyo!!! angejitumbua kama sio kutumbuliwa.
 
Huyu sonko huwa simuelewi sijui bangi sana.... Ana vituko utadhani si public figure...
Mara a bleach nywele .... dah... Ila napenda vituko vyake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mike Sonko ni nomaaaa,tatizo umri nao unamtupa mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…