Tulimumu JF-Expert Member Joined Mar 11, 2013 Posts 14,395 Reaction score 13,273 May 24, 2017 #2 Hii picha mbona ni ya zamani enzi za ukaguzi wa silaha. Sasa angeongoza pia zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa yeye kukaguliwa vyeti vyake na kisha wengine wafuate ingekuwa safi sana na akina Bashite wasingepata pa kutokea
Hii picha mbona ni ya zamani enzi za ukaguzi wa silaha. Sasa angeongoza pia zoezi la ukaguzi wa vyeti kwa yeye kukaguliwa vyeti vyake na kisha wengine wafuate ingekuwa safi sana na akina Bashite wasingepata pa kutokea
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 May 24, 2017 #3 Kuna usalama kweli hapo