Picha ya siku, Ipe mwenyewe maneno

Namwona waziri anayeonekana kama anazungumza, halafu yupo Mbunge anayeonekana amenuna, sijui kwa kutofurahishwa na yanayosemwa na waziri?

Huyu waziri ni wa utalii, lakini haionekani kuwa hilo kundi lililosimama hapo ni watalii!, au ni wananchi anaowashutumu kuwa ni majangiri?

Halafu ni kwa vipi mkutano kama huo wa waziri wa wizara kama hiyo ufanyike sehemu ya kituo cha Afya? Au jangiri aliyenusurika kuuawa na wanyama pori kakimbiziwa kituoni hapo?

Hebu nipe alama zangu za udadisi mkuu 'Herzegovina', maana picha yenyewe ndivyo ilivyokaa, haisomeki hii!
 
Face expression inaonnyesha maneno anayoyasema Waziri hayatoki moyoni! Mbunge uvumilivu umeshindikana! Kuna mwanachi ana not down maelezo ya Waziri ili baadaye Waziri asije sema Wananchi walimnukuu vibaya πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
50% hapo huyo waziri alikuwa ni Naibu waziri wa afya.
 
πŸ’―
Face expression inaonnyesha maneno anayoyasema Waziri hayatoki moyoni! Mbunge uvumilivu umeshindikana! Kuna mwanachi ana not down maelezo ya Waziri ili baadaye Waziri asije sema Wananchi walimnukuu vibaya πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Ni kam.. Hili Nalo Linaongea Nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Sound tu anaona hapo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Face expression inaonnyesha maneno anayoyasema Waziri hayatoki moyoni! Mbunge uvumilivu umeshindikana! Kuna mwanachi ana not down maelezo ya Waziri ili baadaye Waziri asije sema Wananchi walimnukuu vibaya πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
Nina uhakika waziri alijiongeza na kuondoka mapema, la sivyo ni lazima wangemchapa makofi.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…