Nimesema kwa ushahidi nilionao,
Sio kwa hiyo picha my dia kaka David.
Mbona mapenzi yao yapo hadharani tu nashangaa watu wanakanusha,
Wkt wenyewe wako poa.
Ila hilo kiss la Bulaya mmmhhh...likitua shavuni kwako lazma akili iruke kwa muda kama umepigwa shoti ya umeme
Ww peke yako ndo mwenye mawazo unique hakika unaonekana mwenye busaraKwa Tafsiri ya niliyofunzwa na Mwalimu wangu Mneja Kijenge Shule ya Msingi...angesema ...wanaonekana maswahiba....
Tabasamu halioneshi meno mkuu. Hapo Halima alikuwa akicheka.Halima ana tabasamu matata sana
Mkuu andika vizuri tukuelewe hapo juu.Mhhh ila mdeee si bure ila mnatuchefua was nyingine tuseme mikaka yote hamuoni nasikia jeshini mkipata kwa mlikuwa mnavifigirisi mpaka vinakuwa vyekunduu hahaha aiseee habari mnayo
Mhe. Bulaya ni mke wa mtu na ana watoto wa wawili kama sijakosea.Nadhani kinachowafanya wadau mawazo yao yaende mbali ni kwa kutokana na status za hao wakina mama kuwa na ukakasi.....
Nashukuru kwa taarifa kamanda...Mhe. Bulaya ni mke wa mtu na ana watoto wa wawili kama sijakosea.
Lisionyeshe meno kwanini?Tabasamu halioneshi meno mkuu. Hapo Halima alikuwa akicheka.
they- kiwakilishi cha mtu zaidi ya mmoja (wao) look-... naonekana, intimacy (adjective-sifa) -uswahiba/urafiki wa kushibana. pia intimacy hunyumbukika kuwa INTIMATE/INTIMATES (swahiba/maswahiba). neno sahili angeandika THEY LOOK INTIMATES tafsiri sisisi WANADHIHIRIKA KUWA MASWAHIBA.Na sisi tusiojua ngeli muwe mnatutafsiria au kuturekebishia! ALITAKIWA ASEMEJE??
Meno yakitokelezea si tabasamu bali ni kicheko.Lisionyeshe meno kwanini?