Picha ya siku... Bulaya na Mdee

Ulikuwa una maanisha nini labda kwa kuweka picha hii mkuu....???
 
Shoga ni yule Mwenyekiti wako aliyekuwa anasaidiwa kubanduliwa mkewe mpaka akapeleka watu jela

Shoga mwingine ni wewe mwenye kimjusi kinachokutekenya kwny mfereji wa makalio yako.

Punguwani wewe.
 
Shoga mwingine ni wewe mwenye kimjusi kinachokutekenya kwny mfereji wa makalio yako.

Punguwani wewe.
Kama unajua sana kutukana tukana na hapo sasa hehehehehe hahahahaha
 

Attachments

  • 1457025906273.jpg
    30.8 KB · Views: 30
Kama unajua sana kutukana tukana na hapo sasa hehehehehe hahahahaha

Umekubali kama ww ni Punguwani,
Mada ni Halima na Ester,

Hlf hao uliowaweka wana Wake na watoto.
Sasa waulize hao shoga zako.
 
Ulikuwa una maanisha nini labda kwa kuweka picha hii mkuu....???
Mkuu kwani picha inatatizo gani? Unajua tatizo humu kuna watoto wa fesibuku sasa huwezi kuwazuia hisia zao..infact hiyo picha iko ukurasa wa mbele kabisa wa gazeti la mwananchi la juzi baada ya Halima kutolewa kwa dhamana ndio Esther akaenda kumbusu...sasa sijui mnachowaza na siwezi wazuia..labda Moderator atanisaidia
 
Nadhani kinachowafanya wadau mawazo yao yaende mbali ni kwa kutokana na status za hao wakina mama kuwa na ukakasi.....
 
Bado kuna safari ndefu ya kumkomboa mtu Mtanzania kifikra, busu la shavu ndiyo linawatoa mapovu yote haya?
Inashangaza sana, kwa watanzania aina hiyo ya busu ni kitu cha ajabu sana, it's just a sisterly peckon the cheek, ulimwenguni kote hilo si jambo la ajabu isipokuwa bongo tu... kweli tuna safari ndefu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…