Picha ya siku... Bulaya na Mdee

Bulaya na mimi naomba Kiss, Kama shilole anavyowakatikia mashabiki wake anapofanya shoo
 
Mhhh ila mdeee si bure ila mnatuchefua was nyingine tuseme mikaka yote hamuoni nasikia jeshini mkipata kwa mlikuwa mnavifigirisi mpaka vinakuwa vyekunduu hahaha aiseee habari mnayo
 
Msivyo na adabu nyie Vijana mtatafsiri hii nayo tofauti. Shari yenu!
 

Attachments

  • 1457009081631.jpg
    30.8 KB · Views: 52
Bado kuna safari ndefu ya kumkomboa mtu Mtanzania kifikra, busu la shavu ndiyo linawatoa mapovu yote haya?
 
Samahani naomba kuuliza kuwa eti...hao waheshimiwa ni wake za watu...nikiwa na maana wameolewa....???
 
Akhsante Kwa Kutuwekea Picha Za Mr & Mrs. Naona Walikuwa Wanafanya MAANDALIZI Kabla Ya Kwenda Mapumzikoni Maeneo Ya BASIHAYA. Kweli Ukistaajabu Ya Musa Utayaona Ya Firauni!
Yule fala aliyefunga watu jela mkewe alikuwa anatoka Mikocheni anaenda kuliwa Sinza
 
Mi natamani niwaoe wote wawili,ili niwe na wake marafiki,kulala chumba kimoja,Godoro 10×10,hapo nageuka tu,A-B,B-A
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…