Picha ya Mwaka 2016!

Hapa hatuchelewi kusikia Lembeli akitoa tamko kwamba........
Kwenye siasa hakuna urafiki wala uadui wa kudumu.
Na mwisho atasisitiza kwa kusema siasa sio ugomvi
 
Ata na hivyo sioni sababu ya Lembeli kushindwa kumpa mkono Mhe.
Jamani SIASA zisitugawe, SIASA isiwe sababu ya uhadui sisi sote ni watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…