Picha ya msanii Timbulo enzi zileeeee

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Mcheki msanii Said Timbulo maarufu kama Timbulo, hitmaker wa mawe makali kama Domo langu zito, Wa leo wa kesho (sampled from X-Melea), Bado kijana, Samson na Delilah, Imekatika (ft. X-malea), Niende zangu (ft. Rich mavoko), Nakumiss pamoja na zingine ni lizosahau.

Kumbe tunatoka mbali.
Kwenye picha ni yule wa katikati
 
hakukuwa na haja ya kutaja nyimbo zote hizo, anyway kapendeza
 
Tumbili yuko Wapi hapo?
 
mmeambiwa timbulo ni huyo aliyepo kati ya hao wengine,ila mmh! Timbulo na mavazi haya sijui ni kama hii ni picha ya kweli,by the way kila mtu ana throwback yake.
 
Acha uongo Timbulo wa sasa tu ukimcheck hata umbo hilo hana.
 

Kumbe enzi zake alikua mrefu!! Sasa kimemsibu nini mpaka siku hizi kawa andunje? Au anakua kwa kwenda chini?
 
Dr mwenye hii picha akikushitai kutumia picha yake kupotosa sijui utasemaje.??

Au kwa kuwa tunatumia ID fake??
 

Mleta mada kajipange upya

Hapo hakuna cha Timbulo wala nini na isitoshe Timbulo haitwi Said.
 
Umepiga Kitwanga ngapi za mwendokasi kabla ya kuja kudanganya hapa tena ukijua fika kuwa umelewa?
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…