Nadhani kama kulikuwa na bifu ni bora wangeweka picha wema mwenyewe kuweka picha za mama Wema siyo istaarabu kabisaa
mbona wakati mtoto wa kajala anadhalilishwa na timu ya wema yeye wema alikaa kimya? Ina maana ni sahihi kwa mtoto wa kajala kuhusishwa kwenye ugomvi wa kajala ila si sahihi kwa mama wa wema kuhusishwa kwenye ugomvi wa wema? Wema alipaswa kutoa tamko kuwa hasupport watu waliokuwa wanamdhalilisha mtoto wa kajala kwa niaba ya yeye wema. Kwa kuwa kipindi kile alioba sawa tu basi acha hili nalo liwe sawa tu. Wolper alizikataa hizi timu watu wakamuona failure sasa leo ndio wameona madhara yake. Hongera wote mliofanya huo upuuzi kwa kuwa sasa wema atajua ni kwanini hatakiwi kusupport hizo timu pia atajua maumivu aliyokuwa akiyapitia kajala wakati ule.
kula like tena wamteteao wema wanafki
kula like tena wamteteao wema wanafki
Mkuu binafsi mi namtetea mama Wema na wala siyo Wema
Mkuu binafsi mi namtetea mama Wema na wala siyo Wema
Ni kweli ila sometimes sisi watoto ndo tunachochea mama zetu kudhalilishwa, kuna watu hawana staha na hawajalelewa na wazazi so ukiingia anga zao hawaoni hasara kukudhalilisha wewe na familia yako, ndo malipo ya hizo team zake
umeona eeh.... Watu wanashupaza shingo kumtetea wema wakati huyo huyo wema ndiye aliyelea haya mambo.
mavuno ya alichopanda
hivi ni simu yangu haisupport au vipi mana sizioni hizo picha naiona picha moja tu ya kawaida.
kwa hiyo kajala alivyokuwa anadhalilishwa na mwanae na picha za uchi ndo kitu cha kufuraia? Au kwa kuwa wema maarufu ndo mnamtetea?? Ndo ajue sasa hayo maumivu anayoyapat yeye ndo aliyeyapat kajal na mwanae kipind kile baada ya kutukanwa na team za wema na wema mwenyew kukaa kimya, no matter what apate na yeye maumivu ndo aone kuwa kajal alikuwa anaumia pia
Sidhani kama nimemtetea wema katika post hiyo,mimi naongelea kuhusishwa kwa mama wema sio wema kwani kajala alivyokua anatukanwa si yeye mwenyewe ndio aliyemruhusu mwanae aingilie ugomvi kwa kumwacha ahojiwe?halafu kingine kama wema alikaa kimya kosa lake nini hivi nmawafahamu vizuri binadamu au angewakataza wangapi wa wangemwelewa?kwani mara ngapi ametoa tamko kwamba hazifahamu hizo team so and so....?still bado hamna utu jamani sio kwa wema bali kwa mzazi wake inauma sana its like wamedhalilishwa kina mama wote akiwemo mama yako pia ingawa sio sura yake,kama wema anadeserve the pain its for her own sake not otherwise huyo mama sijawahi msikia akishabikia chochote badilikeni acheni chuki za ajabu!
humu haipo hiyo picha ila mie niliiona kule instagram
In short kumzalilisha mtu yoyote ni unacceptable awe mkubwa mdogo ni issue ambayo haifai hzo team zao wazikomeshe wenyewe
Lakini mtoto wa kajala alitukanwa ni mama yake mwenyewe ndio mwenye makosa kwanini amchukue mtoto na kumpeleka ahojiwe juu ya ugomvi ambao haumuhusu?lakini point yangu inabaki palepale mama wema amehusika nini mpaka adhalilishwe kiasi hicho?afadhali hata angekua anashabikia chochote about mwanae lakini maskini mama wa watu yupo kimya,still people tuwe na utu hata wa kujisikia vibaya,ni kweli team so so zikomeshwe lakini sio kwa kufurahia upuuzi huu eti kisa wema amepata pain what kind of people u are?tena wengine ni wanawake kabisa eti nmafurahia kakomeshwa hamjui na nyie nmedhalilishwa hata hao wanaume wanawachora tuu mnavyofurahia?sometime you have to ashame of yourself jamani!
Ndo mana kwangu mimi hzo team huwa za kipuuzi na Iq ndogo tangi mwanzo nilikuwa ckubaliani nazo hata hvo.mtoto wa kajala kuhojiwa kwenye tv haikuhalalisha wao kumtukana mtoto kwenye bifu lao the same na kwa Mama Wema wala hamna anayefurahishwa na vitendo viovu kwenye jamii especially kwa watu.wengne kisa bifu.la wanaume hzo team hazitumii akili na Wema aachane nazo tena wakome kuzalilisha watu its un acceptable