Kama huu ni upuuzi basi na wewe ni mpuuzi nambar moja
sasa hata kama ukijifanya kuumia haisaidii kama kudhalilishwa kashadhalilishwa tayar, apo akae chini ajiulize kwa nini wamdhalilishe mama yake na sio mama wa mwingine? Akipat jibu sidhan kama hili tatizo litatokea tena, haijalish kama ugomvi wa wema hauhusiani na mama yake au mtu mwingine. Binadamu tuna vichaa vya asili, ukijifanya mjuaji ,kuna watu wanaojua zaid.
Sikiliza mdogo wangu hakuna sababu ya kunitukana hatuwezi fika huko sababu hatupati faida yoyote toka kwa Wema wala Kajala.
Kuumia kweli nimeumia sababu naelewa umuhimu wa mama hapa duniani , namimi pia ni mama .
Mama Wema kashadhalilishwa tunachotakiwa tukemee hizi team sababu tunavyowashabikia kwa upuuzi wanaofanya kesho watafanya kwa wamama wengine.
Kwamfano we unavyofurahi mama Wema kufanyiwa hivyi je watu wakimhukumu mama yako sababu yako utafurahi???
Haya ndio hizo team sasaa mi macho yangu
Kweli inauma sana ndugu, ni bora wangemtukana lile tusi lililozoeleka la mama kuliko walivyomfanyia, hata kama ni editing, inauma yaan ni kama utupu wa mama wema wameuweka hadharani.
Wema hana hadhi ya kuzi promote hizo team, kwanza hazina manufaa yeyote kwake maana sio mwanamuziki kama lady jaydee useme wanamsapoti mwanamuzik wao wala mcheza filamu kusema wananunuaga kazi zake madukani ni miss tu aliyebahatika kuwa maarufu, hizo team awaachie akina diamond na lady jaydee ndo zinawafaa, maana wema team zake ni matusi tu toka hasubuhi had jion hawamsaidiii chochote cha maana
We Acha Tu...Mama Anauma....
wengi wetu tumeumia sana kutokana na mama wema kudhalilishwa ila sioni sababu ya wema kuumia kwani yeye(wema) amekuwa akimdhalilisha mama yake kwa tabia zake mbovu, umalaya kupiga picha za utupu nk nazani mama wema anaumia kila cku na mwanae
kwa hiyo kajala alivyokuwa anadhalilishwa na mwanae na picha za uchi ndo kitu cha kufuraia? Au kwa kuwa wema maarufu ndo mnamtetea?? Ndo ajue sasa hayo maumivu anayoyapat yeye ndo aliyeyapat kajal na mwanae kipind kile baada ya kutukanwa na team za wema na wema mwenyew kukaa kimya, no matter what apate na yeye maumivu ndo aone kuwa kajal alikuwa anaumia pia
Wema ni mtu ambaye hajitambui, badala kutumia umaarufu wake kufanya kazi/kutoa filamu yeye anaona sifa kuwa maarufu wakati haiingizi chochote.
Huwa namhurumia sana sababu anapoteza nafasi/muda mwingi kwenye ujinga.
Ndo nimeamini mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu hapo haijalishi hata kama ni mtoto au mkubwa uzalilishaji haufai na ukemewe watu.wanaona case ya.Wema tu.ila.in real sense kipimo upiacho nawe utapimiwa na Wema naye.akemee team yake.kutukana wengne mana kashajifunza sasa
Ni kweli ila sometimes sisi watoto ndo tunachochea mama zetu kudhalilishwa, kuna watu hawana staha na hawajalelewa na wazazi so ukiingia anga zao hawaoni hasara kukudhalilisha wewe na familia yako, ndo malipo ya hizo team zake
Alaaniwe Anayemchafua Mama Wa Mwenzake.......
Asiyejua kuwa mimi mchawi nani?? We ndo wa mwisho kujua, pole sana
Hamna mchawi hapa. Mchawi ni yy mwenyewe.na kuendekeza team za kipuuzi let us be honest people.
Hivi mnafuatiliaga teamwema jinsi wanavyodhalilisha watu? Walichofanya team pinzani ni kutafuta angle where they can hurt her most.
Anachotakiwa kufanya ni kuachana na hizo team wala hazimsaidii zaidi ya kumsifia ujinga tu.
Pole mama wema na dada zake wema